Jumanne, 6 Agosti 2013

MAMA KANUMBA AUZA MALI ZA MWANAE


Inavyosemekana imebakia hice tu ambayo nayo kesha pewa dalali atafute mnunuzi..Ofisi nayo inapumulia mashine. Kuna mazito ndani ya familia hiyo. Katika hali isiyokuwa ya kawaida Xdeejays imeibua tuhuma nzito toka kwa familia y amarehemu Steven Kanumba inayomtuhumu mama wa msanii kanumba(Flora Mutegoha) kuuza mali za mwanae kisha pesa kunywea pombe na mzazi mwenzake mama Lulu huku akisahau familia yake. Taarifa kutoka katika familia inasemakuwa mama kanumba alianza kuuza gari ya kifaahari V8 na alimuuzia mama salma mtambo ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini dar kwa sh mil 30 kisha kwenda kunywea pombe,.