
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na mama mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Albertina Kasanga jana alipomtembelea nyumbani kwake Kibaoni akiwa katika ziara ya mikoa ya Rukwa na Katavi kukagua miradi ya umeme. Picha na Mussa Mwangoka.