Ijumaa, 2 Agosti 2013

SHULE ZA KATA ZINA UMUHIMU....

Watu wanaziponda shule za kata lakini zinasaidia kwa sababu mimi siwezi vaa nguo kama aliyovaa mshikaji hapo juu maana dahhhhhhhh... hapo ndipo utakapouona umuhimu wa shule za kata.......