
Naibu waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, January Makamba amemtaka Mbunge wa Ubungo John Mnyika kuacha 'unafiki' wa kujitetea kuhusu kodi ya laini za simu maana wote walilipitisha bungeni.
Aandika hivi tweeterJanuary Makamba @JMakamba 2h
Mnyika acha unafiki. Sote tumeshindwa kuwatetea wananchi on#SIMCardTax Bungeni. Turudi Bungeni tuondoe hii kitu sio kutapatapa mitandaoni