Alhamisi, 11 Julai 2013

UMEIONA TATOO YA LOVENESS LOVE (DIVA)

MWANADADA DIVA AMBAYE KWA SASA ANATOKA NA MSANII TAJIRI NCHINI KENYA PREZOO AJIPIGA TATOO YA KICHINA KIUNONI.