DIAMOND PLUTNUMS MSANII MWENYE SKENDO NYINGI HIVI JUZI KATI ALIFANYA KITUKO CHA KUMSHIKA BINTI KALIO.. TUKIO HILO LILITOKEA NDANI YA UKUMBI WA FRANKAMAN HOTEL MJINI TABORA. BINTI HUYO INASEMEKANA NI SHABIKI MKUBWA WA DIAMOND.. BINTI ALIFANYA HIVYO BAADA YA KUPANDWA NA MIZUKA YA BURUDANI ALIYOKUWA ANAPOROMOSHA STAR HUYO.