
usiku wa leo kutakuwa na eviction ndani ya
jumba la BBA the chase lakini mshiriki na tumaini pekee
Wakati akifua nguo zake bafuni, mrembo huyo alipewa
kampani na Beverly na Elikem na kuwaambia kuwa haoni dalili kama atapona evicyion yaleo.
“Hakika, kama nitapona eviction ya Jumapili hii itakuwa ni miujiza tu,”
“Ni
ngumu kwa wapenzi kwenye nyumba hii. Angalia kilichotokea kwa LK4 na
Koketso. Wote walitolewa usiki mmoja. Nadhani kitu kile kile kinaenda
kutokea kwetu.”alisema Feza