Snura 'Majanga', Baada ya kukaa na maumivu moyoni kwa muda mrefu
hatimaye leo hii ameamua kufunguka na kusema kuwa anaumizwa sana moyo na
wale wote wanaomhusisha ama kumtuhumu kuwa njia yake kubwa ya kujipatia
pesa ni kujiuza kwa watu wenye pesa mjini na pia kuuza wasichana
wengine.

Snura amesema kuwa kutokana na watu kumhusisha na mambo haya, kwa upande wake yeye binafsi kuna mtu ambaye aliwahi kutumia picha yake
kwenda kumnadi kwa wenye pesa zao, lakini mwisho wa siku alishindwa kukamilisha mpango wa kumuuza kwasababu hakuweza kumfuata na kumueleza kuwa anahitajika kwa ajili ya mpango huo.
Snura ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja, amesema kuwa, Pesa alizonazo sasa zinatokana na yeye kuhangaika kwa njia ambazo ni halali na zinafahamika na watu na anakasirishwa sana na wale woote ambao wanamhusisha na mambo ya kujiuza.