Jumatano, 7 Agosti 2013

MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID HAYOOOOO NDANI YA KARIAKOOO

Pilika pilika za maandalizi ya sikukuu ya eid  kariakoo Dar es salaam
H
Kamera ya Global leo ilivinjari katika mitaa ya Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kuwashuhudia wakazi wa jiji hilo wakifanya manunuzi mbalimbali kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri kama inavyoonekana pichani juu na chini.
(Picha: Denis Mtima na Chande Abdallah / GPL)