Karrueche Tran mpenzi wa On/Off wa mwimbaji wa R&B Chris Brown kupitia Instagram ame-share picha akiwa amesuka ‘twende kilioni’ na kusababisha uzuri wake wa asili (bila makeup nyingi) uonekane zaidi bila chenga.
Ila tuache utani, Karrueche Tran is very cute, Breezy hakukosea!