Alhamisi, 11 Julai 2013
HII NDIO MICHIRIRIZI YA KUJICHUBUA WEMA MAPAJANI.....
diamond afunguka kuhusu kulala na uwoya...
SIRI nje! Lile skendo la Rais wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kudaiwa kulala na mwigizaji Irene Uwoya ambaye ni mke wa ndoa wa mwanasoka wa Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ limevuja.
KISA KAMILI
Huku akijua kabisa kuwa ataibua zogo kwa kuwa Uwoya ni mke wa ndoa wa mtu, kwa mara ya kwanza, Diamond ameamua kuanika kisa kilichomfanya kujiweka kwa muda kwa Uwoya.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika cha gazeti hili, kilichomfanya Diamond kufikia hatua ya kumtongoza na kutoka naye kimapenzi, ni kitendo cha Uwoya kutoa maneno ya kumponda huku akionesha waziwazi hali ya kumchukia kila walipokutana.
UWOYA ALIKUWA HAMPENDI DIAMOND
“Unajua Irene (Uwoya) alikuwa hampendi Diamond hata siku moja na mara nyingi alikuwa kila akimuona lazima amponde. Habari hizo zilikuwa zikimfikia mwanamuziki huyo kupitia mashoga wa mwigizaji huyo ambazo ndiyo zilichochea.
“Kufuatia hali hiyo, Diamond naye kila alipofikishiwa taarifa na mashosti wa Uwoya, alikuwa akijisikia vibaya mno ndiyo maana ‘Sukari ya Warembo’ alilazimika kumvizia Uwoya kwa hali na mali ili kumfanya ampende.
CHIKOKA ATAJWA
“Nakumbuka kwa mara ya kwanza Diamond alimtuma (Juma) Chikoka ‘Chopa’ kwa Uwoya ili amfikishie ujumbe wa yeye kumtaka.
“Chikoka hakufikisha taarifa hizo, kitendo ambacho kilimuuma sana lakini siku moja Diamond alikutana na Uwoya akiwa na Chikoka, maeneo ya Sinza-Mori (Dar), akamuomba tena Chikoka namba, akampa, hapo ndipo uhusiano ulipoanzia.
“Siku mbili baadaye Diamond alizungumza vizuri na Uwoya.
GLOBAL NOMA
“Diamond aliomba ahadi ya kukutana na mwigizaji huyo, bila kuchelewa, Uwoya aliiva na kukubali ambapo walikutana kwenye ile hoteli mliyoandika (Global) kule Mbezi Beach (Dar) wakamalizana.
“Unajua Diamond alifanya hivyo kwa sababu ya kupondwa na washikaji zake kuwa anatamba kutembea na mastaa lakini hamuwezi Uwoya.
“Kwa hiyo utagundua chanzo cha yote ni mdomo wa Uwoya kutangaza kutompenda Diamond kwani alikuwa akimsema vibaya sana kwa watu wake wa karibu,” kilidai chanzo chetu.
BOFYA HAPA KUMSIKIA DIAMOND
Baada ya kujazwa habari hizo, mwanahabari wetu alilazimika kumtafuta Diamond ili kuhakikisha kama alichoelezwa kina ukweli ndani yake ambapo bila kinyongo, mkali huyo wa wimbo wa Kesho alifunguka:
“Dah! Japo yalishapita ila ni kweli Uwoya nilikuwaga nikipata taarifa kutoka kwa marafiki zangu kuwa alikuwa ananichukia sana.
“Nilikuwa nikijiuliza sababu za yeye kunichukia lakini nikawa sizipati hata kidogo na hata nilipochunguza niligundua kweli alikuwa hanipendi kabisa.
“Sipendi sana kuzungumzia ishu hiyo ila naweza kukubali kweli kuwa marafiki zake na wangu ndiyo walionichochea sana kukutana na Uwoya na sasa hatuna tatizo na tunaishi kwa amani na upendo ingawa mengi yamepita na yaliyosemwa sina sababu ya kuyashikilia, kikubwa tumuombe Mungu.”
KAMA KAWA UWOYA HAPOKEI SIMU
Ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimwendea hewani Uwoya lakini kama kawaida, simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.
TUJIKUMBUSHE
Miezi kadhaa iliyopita, gazeti ndugu la hili, Ijumaa Wikienda liliripoti habari ya Uwoya na Diamond kunaswa usiku katika moja ya vyumba vya hoteli maarufu kwenye Ufukwe wa Bahari ya Hindi huko Mbezi Beach, Dar ambapo habari hiyo iliibua maneno lakini sasa mwanamuziki huyo amemaliza utata kwani nguzo na sifa kuu ya Global Publishers ni kuandika ukweli siku zote.

UMEIONA TATOO YA LOVENESS LOVE (DIVA)
MWANADADA DIVA AMBAYE KWA SASA ANATOKA NA MSANII TAJIRI NCHINI KENYA PREZOO AJIPIGA TATOO YA KICHINA KIUNONI.
MAMA YAKE SELLY AFUNGUKA
Selly’s Mother has come out to say her daughter didn’t open her legs for Nando. It is obvious the old lady is just trying hard to cover her daughter’s tracks, but it won’t wash. We all saw her open the legs for Nando under the sheets whiles everyone was asleep.
I think the mother should rather be concern about her daughter’s behavior. If you are a spoil girl then keep it to yourself. You don’t have to sell your womanhood for the whole Africa to watch.
According to information gathered by Reportghananews.com, Selly was actually preparing to get married to her boyfriend Praye Tetia before the chance came for her to go to the Big Brother Africa House.

Jumatano, 10 Julai 2013
PATA KILA UNACHOHITAJI HUMU: ETI HUYU JAMAA NI M-BONGO
PATA KILA UNACHOHITAJI HUMU: ETI HUYU JAMAA NI M-BONGO: HAPA JAMAA ALIFUMWA MITAA YA GONGO LA MBOTO ALIPOKUWA AMEENDA KUWASALIMIA NDUGU ZAKE KISIRI SIRI .
VITUKO VYA DIAMOND NDANI YA FRANKAMAN HOTEL TABORA
DIAMOND PLUTNUMS MSANII MWENYE SKENDO NYINGI HIVI JUZI KATI ALIFANYA KITUKO CHA KUMSHIKA BINTI KALIO.. TUKIO HILO LILITOKEA NDANI YA UKUMBI WA FRANKAMAN HOTEL MJINI TABORA. BINTI HUYO INASEMEKANA NI SHABIKI MKUBWA WA DIAMOND.. BINTI ALIFANYA HIVYO BAADA YA KUPANDWA NA MIZUKA YA BURUDANI ALIYOKUWA ANAPOROMOSHA STAR HUYO.
PATA KILA UNACHOHITAJI HUMU: HELOO GUYS WELCOME TO THIS SITE FOR EVERY YOU NEED...
PATA KILA UNACHOHITAJI HUMU: HELOO GUYS WELCOME TO THIS SITE FOR EVERY YOU NEED...: NAPENDA KUWAKARIBISHA NDUGU ZANGU KWENYE BLOG HII AMABYO ITAJIHUSISHA ZAIDI NA TAARIFA MBALIMBALI ZA MASOMO MICHEZO HABARI MUSIC STORI NK.. ...
Jumanne, 9 Julai 2013
HELOO GUYS WELCOME TO THIS SITE FOR EVERY YOU NEED....
NAPENDA KUWAKARIBISHA NDUGU ZANGU KWENYE BLOG HII AMABYO ITAJIHUSISHA ZAIDI NA TAARIFA MBALIMBALI ZA MASOMO MICHEZO HABARI MUSIC STORI NK..
TOGETHER WE CAN LETS DO THIS...
TOGETHER WE CAN LETS DO THIS...
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)