Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo VITUKO. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo VITUKO. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 12 Agosti 2013
SOUND ZA WALOKOLE
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
Binti: Lakini mimi sikupendi jamani.
Jamaa: Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8 "Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo."
Binti: Mh! Mi ntajuaje kwamba na wewe unamaanisha hayo maneno?
Jamaa: Injili ya Mathayo 12:34b "Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake."
Binti: Jamani leo kazi. Mi ntajuaje kwamba we ni mkweli na mwaminifu?
Jamaa: Injili ya Marko 13:31 "Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe."
Jumanne, 6 Agosti 2013
JAMANI MBONA MAFUMANIZI YAMEZIDI
Hii mada nimeona niiandike haraka sana kwani tunakoelekea kubaya wanawake wenzangu, siku hizi eti wanawake ndiyo tunaongoza kufumaniwa aibu sana hii, tunaziaibisha familia zetu na tulikotoka jamani.
DAH HII KALI... JAMAA APOTEZA UUME WAKE KWA MUDA WA SIKU TATU
Jumatatu, 5 Agosti 2013
Ijumaa, 2 Agosti 2013
SHULE ZA KATA ZINA UMUHIMU....
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)


