Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo TANZANIA. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo TANZANIA. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 31 Oktoba 2013

Taswira:Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo Amtembelea mama mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Albertina Kasanga Nyumbani Kwake Kibaoni


Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na mama mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Albertina Kasanga jana alipomtembelea nyumbani kwake Kibaoni akiwa katika ziara ya mikoa ya Rukwa na Katavi kukagua miradi ya umeme. Picha na Mussa Mwangoka.

Alhamisi, 15 Agosti 2013

MWAKYEMBE ATINGA SAA 10 ALFAJIRI UWANJA WA NDEGE

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, ameanza kufanya ziara ya kushitukiza jana saa 10 alfajiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), kuangalia mwenendo mzima wa usafirishaji wa mizigo.
Katika ziara hiyo alitembelea vitengo mbalimbali, kikiwemo cha ukaguzi wa mizigo na abiria pamoja na kitengo cha kamera, ambako hivi karibuni kulipita dawa za kulevya za mabilioni.
Dk Mwakyembe amefanya ziara hiyo siku tatu baada ya kuahidi kuhakikisha inawatia mbaroni watu wanaojihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya kupitia viwanja vya ndege, kikiwemo hicho chenye jina la Baba wa Taifa.

Ijumaa, 19 Julai 2013

THESE ARE AFRICAN TRADITIONS

                  
Her Excellency Joyce Banda-President of Malawi kneels in HUMILITY as she GREETS fellow Heads of State because they are MEN and her tradition commands her to do so.