Jumatano, 7 Agosti 2013

UCHAFU WA WASANII WA ZE COMEDY TAZAMA PICHA

 Hizi ndo picha za wasanii wa ze comedy walizopiga wakiwa nusu uchiiiiiii...... Tanzania tunaelekea  wapi jamani badala ya wasani kuwa kioo cha jamii wenyewe ndo wanakuwa wa kwanza kuharibu maadili ya watanzania. wasanii punguzeni jamani maana mnakoelekea sikoooooo.