Hapa
najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno
yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake
anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano"
Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama
ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini
mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko
alipo
"Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu
mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa
nafasi yake.......! Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie!
Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu! Yanahusika saaana! ADIOS!!!!