Ijumaa, 19 Julai 2013

MAVAZI YA AIBU KWA KINA DADA

Kina dada tuangalie aina ya mavazi tunayovaa na vitendo tunavyovifanya.. wewe unajua unakwenda kujirusha afu unavaa kama dada alivyovaa hapo... tuwe makini jamani... ni hayo tuuuuuuuuuuuuu....