Alhamisi, 11 Julai 2013

HII NDIO MICHIRIRIZI YA KUJICHUBUA WEMA MAPAJANI.....



Jana na juzi topic katika mitandao mbali mbali imekuwa ni Mapaja ya wema Sepetu baada ya kuweka picha akionyesha mapaja yake ambayo yana michirizi....Blogs nyingi zimeandika kuwa ni adhari za kujichubua ....