Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MODEL. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MODEL. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 20 Agosti 2013

YALIYOJIRI KATIKA USAHILI WA MAMODO

DSCN3106

DSCN3114


1Jana kwenye hoteli ya Serena, Ally Rehmtullah na team yake nzima ya majaji. Waliweza kuchagua models kwa ajili ya onyesho la mavazi litakalofanyika tarehe 30 mwezi huu. Ally Rhemtullah amelipa jina tukio hilo kama “Fashion Avenue” ambapo watu wataenda kwa mualiko maalum tu.Cheki picha jinsi mchakato mzima wa kuwapata wanamitindo hao.
DSC_0242
DSC_0275Baadhi ya models wa kike waliopita mchujo wa kwanza
DSC_0327
DSC_0349Meza ya majaji
DSC_0407
DSC_0462
DSCN3032
DSCN3061 DSCN3062Models walikuwa wanatembea watatu kwenda kwenye meza ya majaji kwa ajili ya kupata maoni ya Yes or No.
DSCN3065
DSCN3068
DSCN3070
DSCN3071
DSCN3072Top 20 ya models wa kiume
DSCN3074
DSCN3077Ally na wageni wake
DSCN3078Wema akisisitiza kitu
DSCN3088Daxx akitangaza matokeo ya models wa kiume
DSCN3089Models wa kike wakichaguliwa
DSCN3092
DSCN3093Models wa kike wakitangazwa
DSCN3096
DSCN3098
DSCN3100Baadhi ya models wa kike waliochaguliwa
DSCN3101Models wa kike wakiandika majina baada ya kuchaguliwa
DSCN3104Wema akifanya interview na pia kampuni yake ikishoot reality TV show yake
DSCN3106

DSCN3115

Jumatatu, 19 Agosti 2013

USAHILI NDO HUO MAMODO KAZI KWENU


MEZA kuu ya Majaji walioshiriki katika Usaili ya kutafuta Models watakaoshiriki kwenye Ally Rehmtullah 2014 Collection Fashion show kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa Alliance Autos, wakala wa Volkswagen nchini, Alfred Minja, Ally Hassan, Mrembo na mwigizaji maarufu nchini Wema Sepetu, Mwandaaji wa Onyesho hilo ambaye pia ni Mbunifu wa Mavazi nchini Ally Rehmtullah, Mwanamitindo Jamillah Nyangasa, Sarah Raqey.
Mwanamitindo maarufu hapa nchini Ally Rehmtullah amefanya maandalizi ya awali ya fashion show yake itayofanyika 30th August mwaka huu katika Hoteli ya Serena ambapo zaidi ya wanamitindo 30 wasichana na wavulana watashiriki katika maonyesho hayo kabambe.
Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi kwenye mahojiano maalum Rehmtullah amesema kwenye onyesho la mwaka huu wasichana watashiriki 20 na wavulana 10 ambao watavaa mavazi mbalimbali yaliotengezwa na kubuniwa na Rehmtullah mwenyewe kwa kuzingatia mila na desturi za Kiafrika.
Katika mchujo huo majaji watano watashiriki kuchagua warembo wenye mvuto, kujiamini na wenye kuwa na muonekano mzuri kwenye jukwaa ili kuwavutia wageni waalikwa ambao watakuwa ni wabunge, mawaziri na viongozi mbalimbali. Rehmtullah alilisitiza mwaka huu kwamba onyesho la mitindo ya mavazi yatafana baada ya kudhamini wa makampuni kadhaa makubwa hapa nchini.
DSC_0050
Pichani juu na chini ni Models wa kike wakipita mbele ya majaji wakati wa Audition ya kutafuta washiriki watakaonyesha mavazi kwenye Onyesho la Mavazi la Ally Rehmtullah 2014 Collection.
DSC_0049
DSC_0053
DSC_0082
Pichani juu na chini ni Models wa kiume wakipita mbele ya majaji kwa ajili ya kuchaguliwa kushiriki kwenye Ally Rehmtullah 2014 Collection Fashion Show.
DSC_0080
DSC_0069
DSC_0071