Ijumaa, 19 Julai 2013

KWA HALI HII TUTAFIKA???????/

Huyu ni miss aliyefukuza jukwaani na Lundenga kutokana kuvaaa nusu uchi jukwaani. Watanzania tunaelekea wapi jamani mbona maadili ya watanzania yanashuka kadri siku zinavyozidi kuyoyoma.
Tujitahidi kuangalia kitu gani tunafanya. ambacho kitajenga jamii yetu yenye maadili na sio kuwapotosha watoto ambao ni taifa la leo. safi sana Lundenga kw auamuzi wako na wengine watajifunza.........