Ijumaa, 26 Julai 2013

MUDA FUTARI HUU JAMANI

Haya ni mambo ya futari mida ya saa moja moja jioni pande za nyumbani kwa wema pindi ambapo mwanadada wema alipowaalika wanamuziki wenzake pamoja na wasanii mbalimbali kuja kupata futari ya pamoja....