Ijumaa, 19 Julai 2013

ULIINYAKA HII: RONALDO DE LIMA AJIINGIZA KWENYE PORN INDUSTRY


Mchezaji maarufu kutoka Brazil “Ronaldo De Lima” amejingiza kwenye bishara ya ngono baada ya kugombania nafasi ya kununua umiliki wa gazeti la Playboy nchini Brazil.
Playboy ni jarida linalohusiana na mambo ya ngono na hii ndio sababu kubwa inayofanya gazeti hilo kupendwa na wanaume wengi.
Sources said the ex-World Cup and Real Madrid star is hoping to buy the huge Playboy franchise in his home country — and is close to making a bid.
Playboy inashika nafasi ya tisa katika magezeti yanayoongoza kuuzwa nchini Brazil licha ya kuporomoka kimauzo kutoka copy one million hadi copy 250,000.