| Ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa kumaliza mfungo huu wa Ramadhani pia kutuweka salama hadi leo...
 Sikukuu yangu nimeilia nchi Kenya lakini nilikuwa na
 kibarua kukonga nyoyo za maelfu ya mashabiki zangu
 jijini Nairobi.Kwangu hii ilikuwa mara ya pili kufanya show
 kenya,lakini ni mara ya kwanza kabisa
 kufanya show jijini Nairobi,kutokana na kiu ya mashabiki
 
 zangu nchini humo nikaona zawadi ya Eid hii
 iwadondoke wao.....It was crayzz yanii niliposhuudia umati wa
 watu wakiimba nyimbo sambamba na mimi,na kufurika hadi getini
 kiukweli nilifurahi sana kwa hali iliyokuwa usiku wa jana.....
 Nikiwa na team yangu nzima ya wasafi,stejini na
 silaha zangu 4 hatari kwenye Mashine alikuwepo
 Dj Rommy Jones kama kawaida stage manager
 Qboy msafii alikuwepo kuhakikisha usalama upo saawia kabisa.....!!
 
 UNAWEZA CHEKI PICHA KADHAA ZA TUKIO ZIMA
 LA SHOW NCHINI KENYA
 KWENYE SIKUKUU YA EID.....
 |