Jana
kwenye hoteli ya Serena, Ally Rehmtullah na team yake nzima ya majaji.
Waliweza kuchagua models kwa ajili ya onyesho la mavazi litakalofanyika
tarehe 30 mwezi huu. Ally Rhemtullah amelipa jina tukio hilo kama
“Fashion Avenue” ambapo watu wataenda kwa mualiko maalum tu.Cheki picha
jinsi mchakato mzima wa kuwapata wanamitindo hao. Baadhi ya models wa kike waliopita mchujo wa kwanza Meza ya majaji Models walikuwa wanatembea watatu kwenda kwenye meza ya majaji kwa ajili ya kupata maoni ya Yes or No. Top 20 ya models wa kiume Ally na wageni wake Wema akisisitiza kitu Daxx akitangaza matokeo ya models wa kiume Models wa kike wakichaguliwa Models wa kike wakitangazwa Baadhi ya models wa kike waliochaguliwa Models wa kike wakiandika majina baada ya kuchaguliwa Wema akifanya interview na pia kampuni yake ikishoot reality TV show yake