Jumatano, 17 Julai 2013

MAPENZI NOMA JAMANI...

Wataka kuuwana kisa kugombania mwanaume. watwangana makonde kama mabondia watu waamua mpaka basi.. wajikuta wakiwapa faida raia.. waliokuwa eneo la tukio baada ya kujikuta wanamwaga ladhi bila ya wao wenyewe kujua..  chezea mapenzi wewe.. haya ndiyo yaliyojiri pande za mtaani kwetu....