Jumatano, 17 Julai 2013

HII NDO ELIMU YA BONGO

Je kwa staili hii kweli mtoto atarudi tena shule kusoma kweli maana anajua akija ni viboko kwenda mbele .. walimu wajitahidi kuwaonyesha watoto upendo kwa kuwabembeleza na sio kuwapa viboko kwenda mbele. hii hufanaya vijana wengi hasa watoto wengi waliojaa mtaani kukimbia shule na kuanza kuzurura mitaani.. walimu tupunguze kidogo adhabu kama hizi hasa ukizingatia kwa watoto wadogo kama hawa wa kindagateni...