Alhamisi, 18 Julai 2013

UWOYA NAE AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND

Baada ya diamond kufunguka kuhusu kutembea na uwoya .. irene uwoy anae afunguka kujibu mapigo baada ya kukaa kimya.. haya ndiyo aliyoyasema uwoya...
“Kuna saa najiuliza kwanin ukimwamini mtu ndio anageuka...kwanin ukiwa muwazi  watu wanakuchukulia vbaya? 
"Leo( jana)  nimeumia sanaaa kuliko sikuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...
"Au najiuliza siruhusiwi kuwa na rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me better”...Uwoya