H
 
Kamera
 ya Global leo ilivinjari katika mitaa ya Congo, Kariakoo jijini Dar es 
Salaam na kuwashuhudia wakazi wa jiji hilo wakifanya manunuzi mbalimbali
 kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri kama inavyoonekana pichani juu na 
chini.
(Picha: Denis Mtima na Chande Abdallah / GPL)
(Picha: Denis Mtima na Chande Abdallah / GPL)