PICHA ZA SHEKHE PONDA AKIWA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Sheik Ponda alipigwa risasi jana baada
ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara Morogoro. Kuna taarifa zilizo
sambaa kwamba hajapigwa risasi si za kweli, Matukio blog ilipata fursa
yakumuona Ponda akiwa anaingizwa MOI leo mchana nakuona hali yake.Ponda
yuko katika hali mbaya na hapa ni wakati anaingizwa chumba cha matibabu