HEY GUYS,
HII KITU NTAIANDIKA KWA KISWAHILI TU ILI TUELEWANE VIZURI.......
KAMA MNAVYOJUA NITAKUWA TANZANIA IN 2 WEEKS TIME.... NIKIWA HUKO NDO NATEGEMEA KUFINALIZE MAMBO YOTE....
KAMA KICHWA CHA HABARI KINAVYOSEMA , NAFASI ZA KUJIAJIRI..........
NATAFUTA WANAWAKE AMBAO WAMEKUWA WAKITAFUTA JINSI YA KUJIAJIRI ILA WAMEKUWA HAWAJUI HOW TO DO IT....... HII ITAKUWA NI BIASHARA NZURI KWAKO NA KWANGU PIA....
YANI MIE HAPA HUWA NADATA TU MUDA WOTE NA BIASHARA COZ L.A KUNA BIASHARA BALAAAAA, MPAKA SIELEWAGI NIFANYE IPI IN TERMS OF VITU VYA KUPELEKA TANZANIA......
SO NIMEAMUA KUFANYA HIVI....... NATAFUTA WANAWAKE WAWILI ARUSHA, WAWILI DAR NA WAWILI MWANZA WA KUFANYA NAO KAZI.....
BASICALLY WATAFUNGUA MADUKA WAO WATADECIDE WANATAKA KUUZA NINI ZAIDI KAMA NI COSMETICS, NGUO, VIATU,ACCESSORIES ETC. MWENYE DUKA ANA UHURU WA KUAMUA KUUZA VYOTE DUKANI KWAKE AU KUUZA KIMOJA AU VIWILI KATI YA HIVYO........
MY PLAN IS TO UNDERCUT EVERY OTHER BOUTIQUE IN THE COUNTRY IN TERMS OF PRICES.....SO I WILL FIRST CONSIDER PEOPLE THAT OWN A PROPERTY THAT CAN BE CONVERTED INTO A STORE.....LOCATION IS KEY..... THE STORE HAS TO BE SOMEWHERE ACCESSIBLE NOT MBEZI AU SEHEMU ZA USWAHILINI SANA KAMA SINZA, MAGOMENI ETC.....KUMBUKA JINA NI BONGOLICIOUS HATUWEZI KUWA NA DUKA MAENEO YASIELEWEKA KIDOGO, ILA PIA SITAKI DUKA SEHEMU KAMA OYSTERBAY, MASAKI OR THOSE KIND OF POSH PLACES, UNLESS KAMA THE PROPERTY IS ACTUALLY URS, MAANA UKIWA NA DUKA MAENEO HAYO LAZMA RENT IWE KUBWA NA NGUO ZIPANDE BEI SANA.......SISI TUPO KATIKATI, SIO LOW CLASS, NA SIO VERY POSH, WE ARE SOMEWHERE HAPO KATIKATI....KUMBUKA MTEJA AKIWA ANATAKA KUNUNUA NGUO HAFIKIRII NATAKA KWENDA KUNUNUA NGUO MASAKI AU O'BAY YEYE ANACHOTAKA NI NGUO NZURI THATS IT , A DECENT LOCATION INAONGEZA MVUTO ILA SIO FACTOR KUBWA.
SO KAMA HUNA PROPERTY YAKO MWENYEWE THAT YOU CAN CONVERT INTO A STORE THEN CHAGUAMAENEO KAMA KINONDONI, MSASANI,CITY CENTRE,DRIVE-IN, NDO SAWA..........
SO THIS IS HOW THE BUSINESS IS SUPPOSED TO WORK....
1. MIMI NANUNUA VITU MAREKANI (INABIDI U-TRUST TASTE ZANGU MIMI) NAKUUZIA WEWE KWA BEI ZA WHOLE SALE - BEI ZITAKUWA NI NZURI SANA......
2. KILA KITU WEWE UTAUZA MARA MBILI MPAKA MARA MBILI NA NUSU YA BEI UTAKAONUNULIA KWANGU (100% PROFIT) - UKIZINGATIA HII STRATEGY BEI ZAKO BADO ZITAKUWA CHINI YA ALMOST KILA MTU BONGO WHICH IS OUR FOCUS POINT.....PRICES.....LAZMA TUJENGE REPUTATION YA KUUZA THE BEST STUFF KUTOKA MAREKANI KWA BEI YA CHINI KUPITA KILA MTU....
3. UTATENGENEZA HELA NZURI BILA STRESS SABABU UTAEPUKANA NA COST ZA KUNUNUA TICKET YA KUJA MAREKANI AU KWENDA CHINA, ETC KULIPA MAHOTELI ETC WHICH MWISHO WA SIKU NDO KINACHOFANYA BEI ZA NGUO KUWA KUBWA.....
4. LAZMA UWE NI MPENDA KUCHAKARIKA LA SIVYO UTAISHIA KUWEKA WASICHANA KIBAO DUKANI PROFIT YOTE ITAISHIA KULIPA MISHAHARA....NATAKA WANAWAKE WACHAKARIKAJI, UWEKE MTU MMOJA TU DUKANI AKIWA ANAUMWA OR SOMETHING WEWE MWENYEWE UWE UNAWEZA KUKAA DUKANI, REMEMBER STRATEGY YETU NI BEI, SO LAZMA TUPUNGUZE EXPENSES AS MUCH AS WE CAN... TAYARI TUMEWEKA KUTOA EXPENSIVE ZA KUSAFIKRI ETC WHICH MEANS TUTAWEZA KUWA THE BEST IN THE COUNTRY....
5. MARA MOJA MOJA NITAKUWA NAKUJA TANZANIA MWENYEWE KWA AJILI YA BONGOLICIOUS, ILA HIYO BONGOLICIOUS SITOKUWA NAUZA NGUO ZANGU ILA NTAKUWA NAUZA NGUO ZAKO AMBAYO WEWE UMENUNUA KWANGU WHOLESALE....NTAGAWANYA SIKU SAWA SAWA KWENYE MADUKA YOOOOOTE YA BONGOLICIOUS TANZANIA........
6. KUMBUKA STRATEGY YETU NI KUUZA NGUO NZURI KUTOKA MAREKANI KWA BEI YA CHINIIIIIII KULIKO DUKA LOLOTE LINGINE TANZANIA......NAOMBA UKILALA UWE UNAONA HILI, BEI BEI BEI BEI
7. KUTAKUWA NA MADUKA WAWILI KWENYE KILA MJI SABABU NIKIWEKA DUKA MOJA NOANA KAMA NTASHINDWA KUKU CONTROL SABABU UTAKUWA HUNA COMPETITION MJINI UTAANZA KUUZA NGUO KWA BEI KUBWA KAMA MADUKA MENGINE DAR, ILA MKIWA WAWILI MTAUZA KWA BEI TUTAKAZO KUBALIANA MAANA UTAJUA KAMA UKIUZA KWA BEI KUBWA BASI WATU WATANUNUA KWENYE DUKA LINGINE. MADUKA YOTE MAWILI YATAKUWA NA NGUO TOFAUTI MARA CHACHE CHACHE SANA MTAKUWA NA NGUO AU VITU VINAVYOFANANA
8.TUTAINGIA MKATABA WA MIAKA 2. BAADA YA HAPO NITAANGALIA KAMA NAWEZA KUENDELEA KUFANYA KAZI NA WEWE LA..... HII BIASHARA INAHITAJI KUAMINIANA SANA
9. COST ZAKO ZITAKUWA KUNUNUA MZIGO WAKO, UTUMAJI WA MZIGO (NITAKUWA NAKUTUMIA KWA CARGO UNAENDA KUCHUKULIA PALE AIRPORT NDOGO), TAXES KIWANGO CHA TAX NI UJANJA WAKO MWENYEWE JINSI UTAKAVYODEAL NA WALE WATU PALE AIRPORT. YOU SEE MPAKA HAPO UMESHAEPUKA COST NYINGI SANA ZA WAFANYABIASHARA WENGINE WA TANZANIA, HUJAPANDA NDEGE, HUJALIPA HOTEL, ETC. NA BEI UTAKAZOKUWA UNANUNUA VITU KWANGU NI NZURI MNOOOO....
10. MIMI NITAKUWA NAFANYA PHOTOSHOOT YA MZIGO WOTE KWA COST ZANGU MWENYEWE, THEN NTAKUWA NAKUTANGAZIA FREE OF CHARGE KWENYE BLOG.
11. WE WON'T SELL ANY FAKE STUFF, SO KAMA WEWE NI UNATAKA KUUZA CL FEKI, SIJUI MABEGI YA GUCCI FEKI ETC, HAPA TUTASHINDWANA, NO FAKE STUFF, TUTAKUWA TUNAUZA MABEGI MAZURI FROM ZARA AND ALDO BUT NO FAKE SHIT PLEASE.... MAANA MTEJA ATAAMINIJE TUNAUZA AUTHENTIC MAC PRODUCTS OR VICTORIA SECRET PRODUCTS KAMA TUNAUZA FAKE CL (Loubs), LV, etc? huwezi kuuza some things fake alafu uambie wateja hapana hiki sio feki kama kile... Lazma tuwe consistant...........
12. UWE NA CAPITAL ISIYOPUNGUA 15,000 USD........ Nisingependa kufanya kazi na mtu mwenye plan ya kufungua kiduka chenye nguo 20 na viatu pair 5....Im sorry. Nataka kudeal na watu walio serious tu......Sio watu ambao itabidi leo ndo wakachune mabuzi wapewe dola elfu 3 za kufungua duka, nehi.....
13. Nitachangua wanawake wawili Dar, Wawili Arusha na wawili Mwanza.
14. Kama uko interested please nitumie email kimambimange@gmail.com nitakupa number yangu ya simu tuanze kuwasiliana
15. Priority will be given to those who own property in suitable areas ,properties that can be converted into stores becauce hawa watu watakuwa hawana cost za rent which means nguo zitauzwa kwa bei nzuri....
SPREAD THE NEWS, NATAKA KUPATA APPLICATIONS NYINGI ILI NIWEZE KUCHAGUA THE BEST WOMEN.....
WANAWAKE TUNAWEZA, BILA HATA KUWEZESHWA......