Fezza Kessy ukitaja jina ili kwa watanzania watakujibu ni mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindani ya Big Brother lakini kiundani zaidi ni mwanamuziki pia anaefanya vizuri kwenye muziki wa Tanzania uku akitamba na kibao chake Amani ya Moyo''
Siku ya jana mwanadada Fezza aliwasili nchini Botswana kwa mpenzi wake au tuseme Mshiriki wa Botswana kwenye mashindani ya BBA THE CHASE 2013. Oneal mwenyeji wake au tuseme mtu wake wa karibu,aliwasili salama salmini na hivi ndivyo alivyopkelewa,umati wa waandishi wa habari na watu walifurika Airport kumlaki mwanadada Fezza kutoka Tanzania....
Dooh ebhana kumbe vitu hivi vinaweza vikawa na umakini zaidi,toka BBA hadi nje watu wameamua kuendeleza kile kitu moyo umetaka,Basi sawa Kila kheri kwa Oneal na Fezza. |